Karibu mpenzi msomaji, uko mahali sasa hihi kwa wewe kupata habari za biashara na uchumi bila kusahau ujasiliamali.
Tunajikita hasa katika kutoa taarifa hizi ili uweze kufanikiwa kiuchumi. Kwasababu hakuna njia nyingine unayoweza kuitumia ili kupata mafanikio kifedha bila ya kupata taaarifa sahihi za kifedha. Lengo ni kuhakikisha una AMKA alafu UNAJITAMBUA kwamba wewe ni nani na unapaswa kufanya mini ili uweze kubadilisha maisha yako.
Hakuna mafanikio yanayokuja bila ya kujua namna ya kuyapata. Kwa maana nyingine hakuna mkato wa katika mafanikio wala hakuna bahati ni swala la kutumia fursa zilizo ndani ya uwezo wako kwa kufanya vitu tofauti na wewe kuweza kutengeneza pesa. Ili uweze kufanikisha hilo ni lazima uwe na taarifa sahihi swala ambalo tutahakikisha unazipata ili kazi ibaki kwako kwatika utrkelezaji.
Hakuna mwalimu anaependa mwanafunzi wake afeli. Kwa kusema hivyo basi ni matarajio yetu na tunapenda kukuona umefanikiwa kutengeneza aina ya maisha unayo yataka, kufikia ndoto zako katika maisha, kuhakikisha unakuwa mtu mkubwa na mwenye kuleta mabadiliko makubwa.
Usikubali kufanya mambo kwa kubahatisha au bila kuwa na uhakika na matokeo, taarifa sahihi zitakutoa kwenye kundi la bahatishaji. Kwasababu siri ya watu wote waliofanikiwa ipo kwenye uhakika na wanachokifanya jambo ambalo linaongeza ujasiri na kujiamini. Uwoga ni matokeo ya kutokujiamini kunako tokana na kukosa taarifa.
Lengo lingine pia uwe na uwezo wa kujipa changamoto mwenyewe kwa kuamua au kujufunza kufanya jambo jipya. Kuogopa kufanya mambo mapya kuna dumaza akili na uwezo wa kufikiria lakini pia unakaa kwenye eneo moja muda mrefu hivyo kupelekea kuua ubunifu wako. Fanya vitu bora ili watu wakutambue jikite kwenye shughuli zinazokuza uwezo wako.
CHALENGE YOUR SELF, kamwe usiridhike na hali mpja ya maisha. Hakikisha ubatafuta chamzo zaidi ya kimoja katuka maisha, usirishike na baishara moja jiongeze kuhakikisha unapata njia nyingine za kuingiza kipato ili ufanikiwe zaidi. Jifunze kuwa muwekezaji kwenye maeneo mbali mbali ili kupata pesa. Jua jeografia ya inchi yako, tafuta kujua nini cha kufanya hapo ulipo ili kuleta tofauti ya mausha yako na watu wengine.
Kika siku hakikisa unafikiria zaidi kuhusu malengi yako. Usipoteze nguvu zako nyingi kwenye kulaumu na kuchukia mazingira, hakikisha unakuwa na uwezo wa kukabili na kubadilisha hali usizo zitaka katika maisha yako.
Haya na mengineyo yatapatika.